Thoma wa Celano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Thoma wa Celano (kwa Kiitalia Tommaso da Celano; 1200 hivi ā 1265 hivi) alikuwa mfuasi wa Fransisko wa Asizi katika utawa wa Ndugu Wadogo, mshairi, na mwandishi wa vitabu vitatu rasmi juu ya mwanzilishi huyo.