ThenasharaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Thenashara (pia thinashara) ni Kiswahili cha pwani kwa ajili ya namba kumi na mbili (12). Asili ni Kiarabu "اثنا عشر" (ithnayn `ashara - ithnashara). Kwa Kiswahili sanifu "kumi na mbili" imechukua nafasi yake lakini bado hutumika.
Thenashara (pia thinashara) ni Kiswahili cha pwani kwa ajili ya namba kumi na mbili (12). Asili ni Kiarabu "اثنا عشر" (ithnayn `ashara - ithnashara). Kwa Kiswahili sanifu "kumi na mbili" imechukua nafasi yake lakini bado hutumika.