Sligo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sligo (kwa Kieire: Sligeach) ni mji wa Eire wenye wakazi 17,892. Ni makao makuu ya wilaya ya Sligo katika mkoa wa Connacht.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Sligo | |
Majiranukta: 54°15′48″N 8°28′48″W | |
Nchi | Eire |
---|---|
Mkoa | Connacht |
Wilaya | Sligo |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 17,892 |
Tovuti: www.sligoborough.ie |
Funga