Shiraz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Shiraz ni mji mkubwa na muhimu nchini Uajemi (Iran). Ni jiji lenye watu milioni 1.4 hivi na mji mkuu wa eneo la Farsi.
Ukweli wa haraka
Nchi | Uajemi (Iran) |
Jimbo / Mkoa | Fars |
Anwani ya kijiografia | 29°37′N 52°32′E |
Eneo | km² 240 |
Wakazi | 1,565,572 |
Msongamano wa watu | 6670/km² |
Simu | 071 |
Tovuti rasmi | www.shiraz.ir |
Funga