Rasi ya Magharibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rasi ya Magharibi ni moja kati ya majimbo 9 ya Afrika Kusini. Mji Mkuu ni Cape Town (Kaapstad). Jimbo liliundwa mwaka 1994 kutokana na maeneo ya Jimbo la Rasi la awali.
| ||||
Mji Mkuu | Cape Town | |||
Mji Mkubwa | Cape Town | |||
Waziri Mkuu | Helen Zille | |||
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 4 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 129,370 km² | |||
Wakazi - Total (2001) - Msongamano wa watu |
Nafasi ya 5 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 4,524,335 35/km² | |||
Milima | Sehemu ya juu: Seweweekspoort Peak yenye 2,325 m Sehemu ya duni: Uwiano wa bahari | |||
Lugha | Kiafrikaans (55.3%) Kixhosa (23.7%) Kiingereza (19.3%) | |||
Wakazi kimbari | Chotara (53.9%) Waafrika Weusi (26.7%) Wazungu (18.4%) Waasia (1.0%) | |||