Randy Jackson (mwanamuziki)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Steven Randall "Bob" Jackson (alizaliwa 29 Oktoba 1961) ni mwimbaji na mwanamuziki, mwanachama wa Jacksons. aliyejulikana kama "Little Randy", yeye ni mdogo wa kaka wa Jackson, na wa pili mdogo wa ndugu tisa wa Jackson , kabla ya dada yaoJanet.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Randy Jackson | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Steven Randall Jackson |
Amezaliwa | 29 Oktoba 1961 (1961-10-29) (umri 62) Gary, Indiana, United States |
Asili yake | Los Angeles, California, United States |
Aina ya muziki | R&B, pop, soul, dance, rock |
Kazi yake | Singer–songwriter, Musician, Dancer |
Ala | Sauti, Percussion instrument, Keyboards |
Miaka ya kazi | 1971–2001 |
Studio | Motown Records, CBS Records |
Ame/Wameshirikiana na | The Jackson 5/Jacksons |
Funga
Randy alikuwa na miaka tatu tu wakati Jackson 5 iliundwa kwa hivyo hakuwa mwanachama halali. Wakati ndugu zake walienda matembezi, yeye aliboresha ujuzi wake kama mwanamuziki na kujifunza piano.