Puerto Vallarta, Jalisco
From Wikipedia, the free encyclopedia
Puerto Vallarta (pwerto βaʎarta; Kiswahili: Bandari ya Vallarta) ni mji mkubwa katika Jalisco. Upande wa magharibi ni maji wa Pasifiki. Ni mji wa mapumziko nchi Mexiko.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Puerto Vallarta | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Jalisco |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 177,830 |
Tovuti: www.puertovallarta.gob.mx |
Funga
Idadi ya wakazi ni 177,830, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 220,368. Uneo lake ni 1,300.7 km².
Mji ulianzishwa mwaka 1851.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Puerto Vallarta, Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |