Maunzilaini
sehemu isiyoonekana ya kuchakatwa ya kompyuta / From Wikipedia, the free encyclopedia
Maunzilaini (pia: maunzi laini[1], kwa Kiingereza software) ni jumla ya programu na data zinazodhibiti utendaji wa kazi ya kompyuta. Ni tofauti na mashine ya kompyuta yenyewe inayotajwa kama maunzingumu (hardware).