Porto Alegre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Porto Alegre ni jina la mji mkuu wa jimbo la Rio Grande do Sul katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Rio Grande do Sul | |
Majiranukta: 30°01′59″S 51°13′48″W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | South |
Jimbo | Rio Grande do Sul |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,436,123 |
Tovuti: www.portoalegre.rs.gov.br |
Funga