Portland, Oregon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Portland ni mji wa Marekani katika jimbo la Oregon. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Portland | |||
| |||
Mahali pa mji wa Portland katika Mareani |
|||
Majiranukta: 45°31′12″N 122°40′55″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Oregon | ||
Wilaya | Multnomah | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 575,930 | ||
Tovuti: http://www.portlandonline.com/ |
Funga