Noah Gray-Cabey
From Wikipedia, the free encyclopedia
Noah Gray-Cabey (amezaliwa 16 Novemba 1995) ni mwigizaji wa filamu na televisheni na mpigaji piano wa kutoka Marekani. Alipata umaarufu wa kuigiza kwenye kipindi cha kuchekesha cha My Wife and Kids kama Franklin Aloysius Mumford na Micah Sanders katika kipindi cha sayansi kiitwacho Heroes inayoonyeshwa kwenye stesheni ya NBC.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Noah Gray-Cabey | |
---|---|
Noah Gray-Cabey, Aprili 2009 | |
Amezaliwa | 16 Novemba 1995 (1995-11-16) (umri 28) Chicago, Illinois, US |
Kazi yake | Actor Pianist |
Miaka ya kazi | 2002–present |
Funga