Nikodemo wa Cirò
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nikodemo wa Cirò (pia: wa Mammola; Cirò, mkoa wa Calabria, Italia, 900 hivi – Gerace, Calabria, 25 Machi 990) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki maarufu wa maadili na ugumu wa maisha, halafu mkaapweke na mlezi wa wamonaki kusini mwa Italia[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.