New York (jimbo)
jimbo la Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
New York ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani la kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na majimbo ya Pennsylvania, Vermont, Massachusetts, Connecticut na New Jersey halafu nchi jirani ya Kanada.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
New York | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Albany | ||
Eneo | |||
- Jumla | 141,299 km² | ||
- Kavu | 122,238 km² | ||
- Maji | 19,016 km² | ||
Tovuti: http://www.ny.gov/ |
Funga
Mji mkuu ni Albany lakini mji mkubwa ni New York.
Jimbo lina wakazi 19,254,630 kwenye eneo la 141,205 km².
Mto mkubwa ni Mto Hudson.
Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.