Mto Mississippi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Mississippi ndio mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu zaidi duniani kote.
Ukweli wa haraka
Chanzo | Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W |
Mdomo | Ghuba ya Meksiko - Atlantiki |
Nchi | USA |
Urefu | 3,780 km |
Kimo cha chanzo | 450 m |
Mkondo | 18,000 m³/s |
Eneo la beseni | 3,238,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Minneapolis, St. Paul, St. Louis, Memphis, Tennessee, Baton Rouge, LA, New Orleans |
Funga
Chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.