Mkoa wa Artvin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Artvin ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika pwani ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa kona ya nchi, kwenye mpaka wa nchi ya Georgia.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Artvin nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Artvin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Artvin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 7436 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 191,934 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 08 |
Kodi ya eneo: | 0466 |
Tovuti ya Gavana | http://www.artvin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/artvin |
Funga
Mji mkuu wake ni Artvin.