AskofuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Askofu ni mtu mwenye cheo cha juu katika Kanisa. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la dayosisi (jimbo) akisimamia shirika au parokia nyingi. Picha ya Timotheo, mmoja kati ya maaskofu wa kwanza, ilivyochorwa katika Nuremberg chronicles f 109v(1493).
Askofu ni mtu mwenye cheo cha juu katika Kanisa. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la dayosisi (jimbo) akisimamia shirika au parokia nyingi. Picha ya Timotheo, mmoja kati ya maaskofu wa kwanza, ilivyochorwa katika Nuremberg chronicles f 109v(1493).