Likasi
Likasi (zamani ulijulikana kwa Kifaransa kama Jadotville na kwa Kiholanzi kama Jadotstad) ni mji wa Katanga Juu, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Likasi (zamani ulijulikana kwa Kifaransa kama Jadotville na kwa Kiholanzi kama Jadotstad) ni mji wa Katanga Juu, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).
Makadirio ya idadi ya watu ni 447,449 (2012).