Kobe, Hyogo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kobe (神戸市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Hyogo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Jiji la Kobe | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kansai | ||
Mkoa | Hyogo | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,536,125 | ||
Tovuti: www.city.kobe.lg.jp |
Funga