John Singer Sargent
From Wikipedia, the free encyclopedia
John Singer Sargent (12 Januari 1856 - 22 Januari 1925) alikuwa mchoraji kutoka Marekani. Alizaliwa katika Italia na alikufa katika London, Uingereza. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris.