Jimbo la Sidama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Sidama ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia. Limeanzishwa mwaka 2020.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Sidama Jimbo la Sidama |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Sidama katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Awasa | ||
Eneo | |||
- Jumla | 12,000 km² | ||
Idadi ya wakazi (2020) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 3,200,000 |
Funga
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,200,000, wengi wakiwa Wasidama, wanaongea Kisidama na ni Wakristo wa madhehebu ya Kiprotestanti.
Makao makuu ni Awasa.