Iman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Iman Mohamed Abdulmajid (amezaliwa 25 Julai 1955), anajulikana kitaaluma kama Iman (ambayo ina maana ya "imani" kwa Kiarabu), ni mwanamitindo Msomali, mwigizaji na mwongozaji kutoka nchini Marekani. Ameolewa na David Bowie.