Idaho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Idaho ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkubwa na mji mkuu ni Boise. Imepakana na Montana, Utah, Nevada, Oregon, Washington, na British Columbia katika Kanada.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Idaho | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Idaho | ||
Eneo | |||
- Jumla | 216,446 km² | ||
- Kavu | 214,314 km² | ||
- Maji | 2,131 km² | ||
Tovuti: http://www.idaho.gov/ |
Funga
Jimbo lina wakazi wapatao 1,523,816 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 216,632.
Snake River (Mto Nyoka) ni mto mkubwa wa Idaho wenye urefu wa km 1,674.