Henry VIII wa UingerezaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Henry VIII (28 Juni 1491 ā 28 Januari 1547) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia tarehe 21 Aprili 1509 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Tudor, akimfuata baba yake, Henry VII. Mfalme Henri VIII alivyochorwa na Hans Holbein the Younger, Walker Art Gallery, Liverpool, Uingereza.
Henry VIII (28 Juni 1491 ā 28 Januari 1547) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia tarehe 21 Aprili 1509 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Tudor, akimfuata baba yake, Henry VII. Mfalme Henri VIII alivyochorwa na Hans Holbein the Younger, Walker Art Gallery, Liverpool, Uingereza.