Hartford, Connecticut
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hartford ndiyo mji mkuu katika jimbo la Connecticut. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Hartford | |
Mahali pa mji wa Hartford katika Marekani |
|
Majiranukta: 41°45′45″N 72°41′19″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Connecticut |
Wilaya | Hartford |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 124,512 |
Tovuti: www.hartford.gov/ |
Funga