Halifax, Nova Scotia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Halifax ndio mji mkuu wa jimbo la Nova Scotia nchini Kanada.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Halifax | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Jimbo | Nova Scotia |
Wilaya | Halifax Regional Municipality |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 282,924 |
Tovuti: www.halifax.ca |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 407,000 wanaoishi katika humo.
Mji upo mita 0-145 juu ya usawa wa bahari.
Halifax ina jamii mbalimbali za kimataifa: Lugha kuu ni Kiingereza, kikifuatwa na Kifaransa.
Upande wa dini, karibu 3/4 ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali.