Genova
From Wikipedia, the free encyclopedia
Genova ni mji wa Italia katika mkoa wa Liguria. Ndiyo makao makuu ya mkoa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 610,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 20 juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Genova | |
Majiranukta: 44°24′20″N 8°55′58″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Liguria |
Wilaya | Genova |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 610,741 |
Tovuti: www.comune.genova.it |
Funga
Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.