Eddie Firmani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Edwin Ronald "Eddie" Firmani (matamshi: ˈɛddi firˈmaːni; 7 Agosti 1933 - 24 Januari 2021) ni mchezaji wa zamani na mkufunzi wa soka . Alikuwa mshambuliaji wa zamani na alicheza sehemu kubwa ya kazi yake nchini Italia na Uingereza. Alizaliwa nchini Afrika Kusini na alicheza kwa timu ya taifa ya Italia.