Dubu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kuhusu makundinyota tazama Dubu Mkubwa na Dubu Mdogo
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Dubu | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dubu Kahawia Ursus arctos | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 3, jenasi 5:
| ||||||||||||||
Funga
Dubu (kutoka Kiarabu الدب al-dubb , jina la kisayansi ni Ursidae, ing. bears) ni wanyama wakubwa wenye manyoya mengi.
Dubu wengi hupenda uoto wa asili kama makazi yao makuu kuwapa chakula chao kama asali na matunda.