Christchurch
From Wikipedia, the free encyclopedia
Christchurch (Kimaori: Ōtautahi) ni mji mkubwa na mji mkubwa wa pili wa New Zealand mwenye wakazi 376,700 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Uneo lake ni 1,426 km². Mji ulinazishwa mwaka 1848. Upande wa mashariki ni maji ya Pasifiki.
Ukweli wa haraka Habari za kimsingi, Mahali ...
Mji wa Christchurch (New Zealand) | |
Mkoa | Canterbury |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 43°34′48″S - Longitudo: 175°37′13″E |
Kimo | 920 m juu ya UB |
Eneo | 1,426 km² |
Wakazi | 376,700 (mji pekee) 390,300 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 264.2 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 03 (mji) |
Mahali | |
Funga