Chennai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Majiranukta: 13°5′N 80°16′E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Tamil Nadu |
Wilaya | Chennai Kanchipuram Tiruvallur |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,590,000 |
Tovuti: www.chennaicorporation.gov.in |
Funga