Catania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Catania ni mji wa Italia katika mkoa wa Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 7 juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Catania | |
Majiranukta: 37°30′00″N 15°5′25″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Sisilia |
Wilaya | Catania |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 293,303 |
Tovuti: www.comune.catania.it |
Funga