Borsod-Abaúj-Zemplén
From Wikipedia, the free encyclopedia
Borsod-Abaúj-Zemplén ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 709,634. Mji wake mkuu ni Miskolc.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Borsod-Abaúj-Zemplén | |
Mahali pa Wilaya ya Borsod-Abaúj-Zemplén katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Hungaria ya Kaskazini |
Mji mkuu | Miskolc |
Eneo | |
- Jumla | 7,247 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 709,634 |
Tovuti: http://www.baz.hu/ |
Funga