Bielefeld
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bielefeld ni jiji lililopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani. Jiji lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia. Mji wa Bielefeld una wakazi wapatao 330,000 wanaoishi mji hapa. Mji pia una Chuo Kikuu cha Bielefeld.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Bielefeld | |
Mahali pa Bielefeld katika Ujerumani |
|
Majiranukta: 52°01′00″N 08°31′00″E | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini - Westfalia |
Idadi ya wakazi (2009) | |
- Wakazi kwa ujumla | 323,084 |
Tovuti: http://www.bielefeld.de/en/ |
Funga