Bamba la PasifikiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Bamba la Pasifiki ni kati ya mabamba makubwa ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bahari ya Pasifiki ikiwa ni bamba la gandunia kubwa kabisa. Maada yake ni miamba mizito ya gumawesi. Bamba la Pasifiki kwa rangi ya kahawia nyeupe Pete ya moto au mstari wa volkeno huzunguka mipaka ya Bamba la Pasifiki; mistari ya buluu ni sehemu penye volkeno nyingi.
Bamba la Pasifiki ni kati ya mabamba makubwa ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bahari ya Pasifiki ikiwa ni bamba la gandunia kubwa kabisa. Maada yake ni miamba mizito ya gumawesi. Bamba la Pasifiki kwa rangi ya kahawia nyeupe Pete ya moto au mstari wa volkeno huzunguka mipaka ya Bamba la Pasifiki; mistari ya buluu ni sehemu penye volkeno nyingi.