Annise Parker
From Wikipedia, the free encyclopedia
Annise Danette Parker (amezaliwa tar. 17 Mei 1956) ni meya mpya wa mji wa Houston jimboni Texas. Ni meya shoga wa kwanza wa mji mkubwa nchini Marekani. Wakati wa kampeni za uchaguzi alijulikana sana wakati huo alipojitangaza kuwa ni shoga. Parker ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia na alikuwa ni mwanachama wa baraza la mji katika Houston.