Angelina Jolie
Muigizaji wa Marekani. Alizaliwa mwaka 1975 / From Wikipedia, the free encyclopedia
Angelina Jolie (alizaliwa tar. 4 Juni 1975) ni mwanamitindo wa zamani, mwigizaji wa filamu na pia mfadhili, wakala wa wakimbizi wa kujitolea wa Umoja wa Mataifa (UN). Ni mwanamama anayetajwa mara kwa mara kwenye vyombo habari kwamba ni mzuri zaidi.
Ukweli wa haraka Angelina Jolie ...
Angelina Jolie | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Angelina Jolie Voight. |
Alizaliwa | 4 Juni 1975 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mtayarishaji Mwongozaji |
Miaka ya kazi | 1982 - |
Ndoa | Jonny Lee Miller (1996-1999) Billy Bob Thornton (2000-2003) |
Wazazi | Jon Voight, Marcheline Bertrand |
Mahusiano | Brad Pitt (2005) - |
Funga