Adhabu ya kifoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Adhabu ya kifo ni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na serikali baada ya mahakama kutoa hukumu ya mauti kulingana na sheria za nchi. Adhabu ya kifo duniani. Buluu: hakuna, Kijani: Adhabu ya kifo wakati wa vita pekee; kichungwa: kuna adhabu ya kifo lakini haikutekelezwa katika miaka 10 iliyopita Nyekundu:Adhabu ya kifo hutolewa Kwa kawaida adhabu hiyo inatolewa kwa jinai nzito sana.
Adhabu ya kifo ni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na serikali baada ya mahakama kutoa hukumu ya mauti kulingana na sheria za nchi. Adhabu ya kifo duniani. Buluu: hakuna, Kijani: Adhabu ya kifo wakati wa vita pekee; kichungwa: kuna adhabu ya kifo lakini haikutekelezwa katika miaka 10 iliyopita Nyekundu:Adhabu ya kifo hutolewa Kwa kawaida adhabu hiyo inatolewa kwa jinai nzito sana.